Tarehe iliyowekwa: December 9th, 2024
Wakazi wa Kata ya Mbweni, Manispaa ya kinondoni, wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya, Mh. Saad mtambule wameadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika kwa Kupanda Miti zaidi ya 1200.
Katika Hafla hiyo...
Tarehe iliyowekwa: December 1st, 2024
Imeelezwa kuwa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi katika Mkoa wa Dar es Salaam yamepungua Kwa asilimia 0.2
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila, alieleza hayo Desemba Mosi, 2...
Tarehe iliyowekwa: November 29th, 2024
Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani Disemba 1, 2024, maambukizi ya virusi vya UKIMWI yashuka katika Wilaya ya Kinondoni.
Akitoa taarifa ya hali ya Maambukizi ya Virus...