Tarehe iliyowekwa: March 30th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Saad Mtambule, amezindua Kampeni ya Usafi ijulikanayo 'Mguu kwa Mguu Kitaa' ikiwa ni siku ya maadhimisho ya usafi wa mwisho wa mwezi.
Uzinduzi huo umefanyika...
Tarehe iliyowekwa: March 28th, 2024
Ikiwa ni wiki ya upandaji miti Duniani, Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kupitia Kitengo cha Usafi wa Mazingira imeendelea kuadhimisha wiki hiyo kwa kupanda miti katika Shule ya Kinondoni Muslim n...
Tarehe iliyowekwa: March 27th, 2024
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Toba Nguvila, ameshauri Uongozi wa Manispaa ya Kinondoni kutoa motisha kwa Watumishi wanaofanya kazi vizuri ili kuleta ushindani baina ya Watumishi na tija...