Tarehe iliyowekwa: February 26th, 2024
Timu ya Wataalam na Madiwani kutoka Halmashauri ya Kwimba Jijini Mwanza wamefanya ziara maalum ya mafunzo katika Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kujifunza namna ya uanzishaji na uendeshaji wa...
Tarehe iliyowekwa: February 24th, 2024
Wananchi katika Kata ya Ndugumbi wameiomba Manispaa ya Kinondoni kuwachukulia hatua za kisheria wanaokaidi na kukwamisha zoezi la usafi.
Bw. Godfrey Mkoba mkazi wa Kata hiyo alisema kuwa, "litakuwa...
Tarehe iliyowekwa: February 24th, 2024
Wananchi wametakiwa kuendelea kufanya usafi kila siku ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko yanayotokana na uchafu.
Afisa Afya wa Kata ya Ndugumbi, Bi. Irene Sayo, aliyasema hayo Februari 24, 2024 k...