Tarehe iliyowekwa: February 20th, 2024
Zaidi ya wakazi 153 wa Manispaa ya Kinondoni wamepatiwa Hati miliki ya Ardhi ikiwa ni utekelezaji wa zoezi la Ardhi Kliniki lililoanza hivi karibuni.
Mkuu wa Kitengo cha Ardhi Manispaa ya Kinondoni...
Tarehe iliyowekwa: February 20th, 2024
Mbunge wa Kawe, Mheshimiwa Josephat Gwajima, amewataka Watumishi kuwa waadilifu katika kutatua changamoto za Ardhi.
Alisema, "kuna baadhi ya Watumishi ni chanzo cha migogoro kwa kutotenda haki. Ali...
Tarehe iliyowekwa: February 20th, 2024
Waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Silaa, Februari 20, 2024 ameipongeza Manispaa ya Kinondoni kwa kushughulikia kero za migogoro ya Ardhi.
Mheshimiwa Silaa alitoa pongezi hizo wakati akizindua zoezi la Ard...