Tarehe iliyowekwa: April 12th, 2024
Kufuatia mfululizo wa mvua zinazoendelea kunyesha Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeweka mipango madhubuti katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko hasa ugonjwa wa kipindupindu endapo itatokea....
Tarehe iliyowekwa: April 9th, 2024
Diwani wa Kata ya Makongo Mheshimiwa, Joseph Rwegasira, ameikabidhi Shule ya Sekondari Makongo Juu viti 100 na meza 100 ikiwa ni kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi.
Akizungumza k...
Tarehe iliyowekwa: April 9th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mheshimiwa Saad Mtambule Aprili 09, 2024 alikabidhi eneo kwa Jeshi la Polisi, Mkoa wa Kinondoni kutoka kwa Wananchi kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi. Eneo hilo lipo ...