Tarehe iliyowekwa: December 14th, 2017
Manispaa ya Kinondoni imefanya uchaguzi wa Naibu Meya ambapo Mh Manyama Mangalu (Diwani Kata ya Kigogo),aliyekuwa Naibu Meya hapo awali ameendelea kushika nafasi hiyo kwa mara nyingine.
 ...
Tarehe iliyowekwa: December 14th, 2017
Manispaa ya Kinondoni imekabidhiwa hati ya manunuzi ya jengo la kilichokuwa kituo cha kulelea watoto yatima (Dogodogo Centre) yenye thamani ya takribani shilingi milioni 400, kwa lengo la kubadi...