Tarehe iliyowekwa: August 10th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Godwin Gondwe, amewataka Watendaji wa Kata, Mitaa na Wenyeviti wa Mitaa kuhakikisha wanayafanyia kazi maagizo ya Mkuu wa Mkoa Mhe. Amos Makalla kikamilifu.
DC Gond...
Tarehe iliyowekwa: July 28th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Godwin Gondwe amehimiza uadilifu kwa makarani wa sensa wakati wa zoezi la sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika mwezi Agosti 23, 2022.
Mheshi...
Tarehe iliyowekwa: July 28th, 2022
Kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kunduchi Mhe. Michael Urio, imekagua miradi ya elimu, afya na masoko kwa lengo la kujiridhisha na hatua za ujenzi zilizofikiwa ili ...