Tarehe iliyowekwa: July 28th, 2017
Karibu katika banda la Manispaa ya Kinondoni ujionee kilimo cha mbogamboga kwa utaalamu na mpangilio madhubuti.
Kutakuwa na wataalam mbalimbali watakaotoa elimu ya Kilimo hicho ch...
Tarehe iliyowekwa: June 24th, 2017
Watanzania wametakiwa kuyaendeleza, kuyaenzi na kuyaishi yale mema yote waliyoyaishi katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Hayo yamesemwa na Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam shekhe Alhad Mussa Salum ali...
Tarehe iliyowekwa: June 15th, 2017
Baraza la Madiwani Manispaa ya Kinondoni chini ya Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mh. Benjamin Sita limepitisha jumla ya Vibali vya ujenzi 168 vyenye thamani ya tsh 36.8Milioni katika kikao chá robo ya...