Tarehe iliyowekwa: June 15th, 2017
Baraza la Madiwani Manispaa ya Kinondoni chini ya Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mh. Benjamin Sita limepitisha jumla ya Vibali vya ujenzi 168 vyenye thamani ya tsh 36.8Milioni katika kikao chá robo ya...
Tarehe iliyowekwa: June 8th, 2017
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imetakiwa kuanzisha dawati litakalotoa Elimu kwa Mfanyabiashara akiwemo mwenye mtaji mdogo.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Ali Hapi ali...
Tarehe iliyowekwa: May 30th, 2017
Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Kinondoni chini ya Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Amour Hamad Amour umetembelea, umezindua na kuweka jiwe la Msingi kwenye miradi Sabá (7) yenye thamani ya...