Tarehe iliyowekwa: December 2nd, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amewataka Wenyeviti wa Serikali za mitaa kuwa wadilifu katika kuwatumikia wananchi walio wachagua na kwamba waepuke kuwa miungu watu.
Mhe. Chongolo ...
Tarehe iliyowekwa: November 28th, 2019
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni limempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo , Aron Kagurumjuli kwa jitihada zake zakuwezesha kufanya vizuri katika matokeo ya darasa la...
Tarehe iliyowekwa: November 27th, 2019
Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wamefanya ziara ya kujifunza namna ya ukusanyaji mapato katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.
Madiwani hao waliokuwa wameambata na Mkuu ...