Tarehe iliyowekwa: October 11th, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kupitia Divisheni ya lishe imeendelea na zoezi la kutoa mafunzo ya lishe kwa vitendo katika Kata ya Hananasif ambapo wamefundisha namna ya uandaaji wa chakula kwa ...
Tarehe iliyowekwa: October 10th, 2023
Kituo cha afya Kata ya Kigogo, Manispaa ya Kinondoni kimeadhimisha siku ya afya ya akili duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 10 Oktoba ya kila mwaka yaliyoenda sambamba na kauli mbiu isema...
Tarehe iliyowekwa: October 8th, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imefanya maadhimisho ya juma la elimu ya watu wazima yaliyoenda sambamba na kauli mbiu isemayo "Kukuza Uwezo wa Kusoma na Kuandika kwa Ulimwengu unaobadilika, Kuje...