Tarehe iliyowekwa: August 5th, 2024
Karibu banda la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwenye maonesho ya Nanenane yanayoendelea Mkoani Morogoro ujifunze teknolojia mpya za kilimo, ufugaji na uvuvi.
...
Tarehe iliyowekwa: August 5th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Mheshimiwa Saad Mtambule ametembelea banda la Manispaa ya Kinondoni August 5, 2024 kwenye maenesho ya Nanenane yanayoendelea Mkoani Morogoro.
...
Tarehe iliyowekwa: August 3rd, 2024
Kamati ya Mipango Miji na Mazingira imekagua miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa na Manispaa ya Kinondoni. Miradi hiyo ni Kiwanja No. 10 Kitalu 33H eneo la Kinondoni, Ujenzi wa barabara ya Medi...