DIRA
Kuwa Halmashauri bora zaidi katika utoaji wa huduma za kiuchumi na kijamii kwa wananchi.
DHIMA
Kutoa huduma bora za kijamii na kiuchumi kwa kutumia rasilimali zilizopo kwa ufanisi na kuzingatia utawala bora kwa maisha bora ya jamii.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255 22 2170173
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.