Tarehe iliyowekwa: May 18th, 2022
Kinondoni kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, wadau wa Afya na TAMISEMI leo imezindua rasmi kampeni ya chanjo au matone ya polio kwa watoto wa umri chini ya miaka mitano itakayoenda kwa si...
Tarehe iliyowekwa: May 10th, 2022
Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Kinondoni umetembelea, umezindua, umeweka jiwe la Msingi kwenye miradi mitano yenye thamani ya shilingi takribani bilioni 3.9 fedha za kitanzania.
Akisoma ta...
Tarehe iliyowekwa: April 27th, 2022
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge ameandaa ibada ya futari iliyohusisha wananchi wa Kinondoni, viongozi wa dini, viongozi wa vyama na Serikali pamoja na makundi mbalimb...