Tarehe iliyowekwa: April 30th, 2018
Jumla ya vituo 292 vyatarajiwa kutoa huduma ya chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi (HPV vaccine) awamu ya kwanza kwa wasichana 5,562 wenye umri wa miaka 14, katika Manispaa ya Kinondoni.
H...
Tarehe iliyowekwa: April 28th, 2018
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Uongozi Mh. Benjamin Sitta, ambaye pia ni Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo, katika ziara yake aliyoifanya kwa lengo la kukagua na kutathmini thaman...
Tarehe iliyowekwa: April 25th, 2018
Kamati ya Mipango miji na Mazingira ya Manispaa ya Kinondoni imefanya ziara kukagua hatua za utekelezaji zilizofikiwa katika zoezi zima la upangaji na uboreshaji wa Mazingira unaoendelea katika Manisp...