Tarehe iliyowekwa: December 10th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema kuwa katika kuhakikisha tunakuza uchumi wa Viwanda, Wilaya hiyo imeandaa maonesho ya wajasiriamali wa bidhaa za ngozi yatakayofanyika Disemba 1...
Tarehe iliyowekwa: December 2nd, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amewataka Wenyeviti wa Serikali za mitaa kuwa wadilifu katika kuwatumikia wananchi walio wachagua na kwamba waepuke kuwa miungu watu.
Mhe. Chongolo ...
Tarehe iliyowekwa: November 28th, 2019
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni limempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo , Aron Kagurumjuli kwa jitihada zake zakuwezesha kufanya vizuri katika matokeo ya darasa la...