Tarehe iliyowekwa: October 4th, 2024
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Bi. Hanifa Suleiman Hamza akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa ndani ya Manispaa ya Kinondoni.
...
Tarehe iliyowekwa: October 4th, 2024
Kikao cha Wawakilishi wa Vyama vya Siasa Kata ya Kinondoni kwa ajili ya kuhamasisha Wananchi kujitokeza katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
...
Tarehe iliyowekwa: October 4th, 2024
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Bi. Hanifa Suleiman Hamza atembelea Kata ya Ndugumbi kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero mbalimbali kwa Wananchi sambamba na ukaguaji wa miradi mbalimbali ya ma...