• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

Tandale

HISTORIA FUPI:

Kata ya Tandale iko katika Tarafa ya Kinondoni, jimbo la Kinondoni Manispaa ya Kinondoni, imepakana na Manispaa ya Ubungo kwa upande wa Magharibi. Kihistoria asili ya jina hili linatokana na bwawa la maji la Tandale na ilianzishwa mwaka 1995.

 

JIOGRAFIA YA KATA YA TANDALE

  • Magharibi-Kata ya Manzese
  • Kusini-Kata ya Ndugumbi
  • Mashariki-Kata ya Makumbusho
  • Kaskazini-Kata ya Kijitonyama

IDADI YA MITAA

Mitaa inayopatikana katika Kata ya Tandale;

  • Tumbo
  • Sokoni
  • Mtogole
  • Mkunduge
  • Pakacha
  • Muhalitani

IDADI YA WATU- JUMLA 43374

  • KE-21470
  • ME-21904

HALI YA ELIMU

 Jumla ya shule ni 4. Msingi 3 na Sekondari 1

  • Shule za msingi (Serikali)

1. Hekima

2. Tandale

3. Tandale Magharibi

  • Shule za sekondari (Serikali)
  • Abbas Tarimba

 

IDADI YA SHULE NA IDADI YA WANAFUNZI

  • Shule ya msingi Hekima –KE 780 /ME 761 JUMLA 1541
  • Shule ya msingi Tandale-KE 1038/ ME 970 JUMLA 2048
  • Shule ya msingi Tandale Magharibi- KE 596/ ME 632 JUMLA 1228
  • Shule ya Sekondari Abas Tarimba-KE 223/ ME 234 JUMLA 460


  • NA
  • JINA LA SHULE
  • WAVULANA
  • WASICHANA
  • JUMLA
  • 1.
  • HEKIMA
  • 780
  • 761
  • 1541
  • 2.
  • TANDALE
  • 1038
  • 970
  • 2048
  • 3.
  • TANDALE MAGHARIBI
  • 596
  • 632
  • 1228
  • 4.
  • ABAS TARIMBA
  • 223
  • 234
  • 460


  • Zahanati Kata ya Tandale

    Kata ya Tandale ina jumla ya Zahanati 08 zote zikiwa chini ya miliki ya Sekta Binafsi, Haina kituo cha Afya chochote. Aidha Kata ya Tandale ina Hospitali moja ya Tandale iliyopo Mtaa wa Pakacha ambayo inamilikiwa na Serikali.

    HALI YA AFYA KATIKA KATA

    •  Zahanati ya MICO Mtaa wa Pakacha
    •  Zahanati ya ST. DIDAS Mtaa wa Pakacha
    •  Zahanati ya MWIKA SAFI Mtaa wa Sokoni
    •  Zahanati ya EUREKA Mtaa wa Sokoni
    •  Zahanati ya BAKWATA Mtaa wa Kwatumbo
    •  Zahanati ya SALAMA 1 Mtaa wa Mtogole
    •  Zahanati ya TAYMA TANDALE Mtaa wa Mtogole
    •  Zahanati ya AGA KHAN POLYCLINIC Mtaa wa Mkunduge 
       

      HOSPITALI KATA YA TANDALE

      Hospitali ya Tandale (TANDALE H/C) iliyopo Mtaa wa Pakacha.

       

      HALI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA

      Kata ya Tandale ina Barabara kuu 1- Mlandizi Road. Pia kuna barabara za zege, lami na vumbi kama zifuatazo;

      TUMBO

      • Zege 1 inaitwa Malenda road, Lami 1 Mbuyuni road, Vumbi 9
    • MKUNDUGE

      • Zege 1, Vumbi 7
    • SOKONI

      • Zege 3, Lami 1, Vumbi 6
    • MHALITANI

      • Zege 3
    • MTOGOLE

      • LAMI 1, Zege 4
    •  

      MIRADI

      Kata ya Tandale imetekeleza na inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ikiwemo;

      • Ujenzi wa soko la Tandale ambalo limekamilika kwa kiasi kikubwa, kilichobakia mpaka sasa ni kisima cha maji ambacho tayari kimeanza kuchimbwa. Mradi wa soko una thamani ya shilingi Bil 10, 247,208,093.14. 
      • Mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari Abbas Tarimba ambapo kuna;
      • Ukarabati wa vyumba vya 9 vimekamilika kwa gharama ya sh. mil 100 kutoka Halmashauri. 
      • Ujenzi wa madarasa ya ghorofa upo katika hatua ya msingi uliotumia gharama ya sh. 5,289,834,225 kwa ujenzi wa awali. 
    •        

      BIASHARA NA UWEKEZAJI

      Kata ya Tandale ina Hoteli na Sheli za mafuta 3. Aidha Kata ya Tandale ina Soko kuu la Tandale ambalo lipo hatua za mwisho kufunguliwa (picha). Shughuli kuu za Kiuchumi ambazo Wakazi wa Tandale wanajishughulisha nazo ni Biashara na ajira mbalimbali.

      VIVUTIO VYA UTALII

      Hakuna kivutio cha utalii

      ULINZI NA USALAMA

      Kata ya Tandale ina ina kituo kimoja cha polisi kijulikanacho kwa jina la Tandale

      Pia kila Mtaa una kikundi cha ulinzi na usalama (Sungusungu)

       

      MAAFISA NGAZI YA KATA

      • Afisa Elimu 1
      • Afisa Maendeleo ya Jamii 1
      • Afisa Afya 2 
      • Afisa Ustawi wa Jamii 1
      • Afisa Mtendaji Kata 1
      • Watendaji wa Mitaa 6
      • Afisa Elimu 1
      • Afisa Maendeleo ya Jamii 1
      • Afisa Afya 2
      • Afisa Ustawi wa Jamii
        MAHUSIANO NA WADAU WA MAENDELEO:
        Kata ya Tandale ina mahusiano mazuri na wadau wa maendeleo na ndio wamewezesha kujenga ofisi ya Serikali ya Mtaa katika mtaa wa Sokoni. Pia Kata ya Tandale inapokea misaada mbalimbali ya kimaendeleo kutoka kwenye taasisi za umma, binafsi na jamii ya Tandale kwa ujumla.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.