• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Matukio ya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo cha mijini
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji, mifugo na uvuvi
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Baraza la Madiwani
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

Mabwepande

HISTORIA FUPI:

Kata ya Mabwepande ilianzishwa 2010 kwa kupunguzwa eneo la kiutawala katika Kata ya Bunju na kuanzisha mitaa mipya mitano inayounda Kata ya Mabwepande. Jina Mabwepande ilitokana na maneno ya Kizaramo ambayo tafsiri yake ni mapande ya mawe (Marugwepande) yaliyokuwa yanapatikana kwenye Hifadhi ya Msitu wa Pande.


IDADI YA MITAA KATIKA KATA:

Kata ya Mabwepande inayo mitaa mitano (05) ambayo ni: -

  1. Mabwepande
  2. Bunju B
  3. Kihonzile
  4. Mji Mpya 
  5. Mbopo


HALI YA ELIMU KATIKA KATA:

Hali ya elimu katika Kata ni ya kuridhisha, hasa elimu ya msingi, sekondari, vituo vya kulea watoto wadogo pamoja na uwepo wa vyuo. 


SHULE ZA AWALI:

Kata ya Mabwepande ina shule za awali  za Serikali nne ambazo: -

  1. Mbopo
  2. Mabwepande
  3. Mji mpya
  4. Bunju B

Pia Kata ina shule za awali za binafsi 90.


SHULE ZA SEKONDARI:

Kata ina shule nne za sekondari za Serikali ambazo ni: -

  1. Shule ya sekondari Mabwe
  2. Shule ya sekondari ya wasichana ya Mabwe Tumaini
  3. Shule ya sekondari Njechele 
  4. Shule ya sekondari Mbopo

Pia Kata ina shule tano za sekondari za binafsi ambazo ni: -

  1. Shule ya sekondari Tuwapende watoto
  2. Shule ya sekondari Rewapende
  3. Shule ya sekondari Debugene
  4. Shule ya sekondari TEJ
  5. Shule ya sekondari Godeni


VYUO VYA ELIMU YA JUU NA KATI:

Kata ya Mabwepande ina chuo 1 cha Serikali ambacho ni chuo cha kilimo Malolo na vyuo 2 vya binafsi ambavyo ni chuo cha Mazingira Bunju B na Tuwepende watoto.


HALI YA AFYA:

Hali ya Afya katika Kata ya Mabwepandei ni ya kuridhisha kwani inayo hazina ya kutosha ya Hospitali, Vituo vya afya pamoja na Zahanati za serikali na binafsi. Kata ya Mabwepande ina Hospitali 1 ya serikali ambayoni Hospitali ya Wilaya ya Mabwepande na Hospitali mbili za binafsi ambazo ni Heameda na  Hans Magaya.


ZAHANATI ZILIZOPO KATA YA MABWEPANDE:

Kata ya Mabwepande ina Zahanati mbili (2) za serikali ambazo ni Zahanati ya Mabwepande na Mbopo na Zahanati tatu (3) za binafsi ambazo ni Zahanati ya Upendo, Honest na Diason.


HALI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA:

Kata ya Mabwepande ina barabara za udongo zinazopitika kwa msimu mmoja na msimu mwingine kupitika kwa taabu. Muonekano wa Kata ya Mabwepande ni muinuko na mabonde ukiwa umepitiwa na mto Mpiji upande wa Magharibi mwa Manispaa ya Kinondoni. Hata hivyo Kata ina barabara moja ya lami inayokwenda Bagamoyo yenye urefu wa kilometa 2.5

Matangazo

  • MABADILIKO YA VITUO VYA KUFANYIA MAFUNZO YA SENSA July 30, 2022
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA KWA MAKARANI, WASIMAMIZI WA MAUDHUI NA TEHAMA TAREHE 27 JULAI, 2022 WILAYA YA KINONDONI July 27, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA SENSA 2022 July 19, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • "AHIMIZA UADILIFU WAKATI WA SENSA" DC GONDWE KINONDONI

    July 28, 2022
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI AFYA NA ELIMU KINONDONI IMEFANYA ZIARA KATA YA KAWE

    July 28, 2022
  • ZIARA YA KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI KINONDONI YATEMBELEA KATA YA TANDALE NA ASASI YA PHSRF

    July 27, 2022
  • ZIARA YA KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI KINONDONI YATEMBELEA KATA YA TANDALE NA ASASI YA PHSRF

    July 27, 2022
  • Tazama zote

Picha Jongefu

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • VITUO VYA KUKUSANYIA MAPATO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.