Tarehe iliyowekwa: November 19th, 2021
NI ILE ILIYOGAWANYWA BAADA YA KUVUNJWA KWA ILIYOKUWA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mwananyamala na Mstahiki Meya w...
Tarehe iliyowekwa: November 11th, 2021
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Amos Makalla leo tarehe 11 Novemba, 2021 amezindua mradi wa soko wenye lengo la kuwawezesha wafanyabiashara wadogo kujikwamua kiuchumi, katika eneo la Kigogo,...
Tarehe iliyowekwa: November 10th, 2021
Magonjwa yasiyoambukiza yakiwemo shinikizo la damu, magonjwa ya moyo, saratani na kisukari yamekuwa chanzo cha vifo na usumbufu kwa wananchi wa maeneo ya mijini ikiwemo Mkoa wa Dar es Salaam.
Miene...