Tarehe iliyowekwa: October 19th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Godwin Gondwe leo Jumanne tarehe 19 Oktoba, 2022 amefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi mitatu ya maendeleo ya soko la Msasani, stendi ya mabasi Mwenge na uwa...
Tarehe iliyowekwa: September 30th, 2022
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imefanikiwa kuchanja mbwa 371 na paka 18 ndani ya siku mbili katika zoezi la kutoa chanjo na elimu kuhusu madhara ya kichaa cha mbwa linaloendelea katika Kata ya B...
Tarehe iliyowekwa: September 26th, 2022
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imezindua rasmi utambuzi, usajili na ufuatiliaji wa mifugo kwa kutumia hereni za kielekitroniki katika mtaa wa Ada Estate, Kata ya Kinondoni leo Jumatatu Septembea...