• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fukwe na Visiwa
    • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Matukio ya Utalii
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Iliyopangwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio

Kawe

HISTORIA FUPI:

Mji wa Kawe ulianza tangu miaka ya 1908. Kipindi hicho mji ulikuwa hapo lilipo eneo la Makaburi ya Mzimuni (Mwai Kibaki road). Asili ya jina la Kawe lilitokana na mwanamke mmoja aliyeishi maeneo hayo aliyeitwa  Bi. Mwakawi. Bi. Mwakawi alipokufa alizikwa katika makaburi ya Mzimuni ambapo mbuyu mkubwa ulioota juu ya kaburi lake hivyo kufanya watu wengi kupatumia kama eneo la matambiko, na inadaiwa kuwa waombaji walikuwa wakijibiwa maombi yao. Ikumbuke kwamba eneo hilo pia kulikuwa na Msikiti ambao ulizama ukiwa na waumini ndani yake.

Kufikia miaka ya 1960 baada ya kuanzishwa kwa kiwanda cha Tanganyika Packers palikuwa na njia ya kuleta ng'ombe kiwandani yaani (COW ways), wazungu waliita "cow ways"  wakimaanisha njia ya ng'ombe, wazawa wakashindwa kutamka neno hilo na badala yake kutamka KAWE.

Vitongoji vilivyokuwa vinapakana na Kawe kwa kipindi hicho ni pamoja na Kwa Mussa Hassan ambako ni Msasani, Maiko Chain ambako sasa ni Mikocheni. Umbwelani ambako sasa ni pahala ilipo hosteli ya JWTZ, pia kwa Wakwama ambako sasa ni Ukwamani na upande wa Kaskazini walipakana na mashamba ya mkonge ya Asamali ambako sasa ni Mbezi Beach.


IDADI YA MITAA:

Kata ya Kawe inayo mitaa minne (04) kama ifuatavyo:-

  1. Mtaa wa Mzimuni
  2. Mtaa wa Mbezi Beach A
  3. Mtaa wa Mbezi Beach B
  4. Mtaa wa Ukwamani


HALI YA ELIMU KATIKA KATA:

Hali ya elimu katika Kata ni ya kuridhisha, hasa elimu ya awali, msingi, sekondari na uwepo wa vyuo vya elimu ya kati. Zote zinayo miundombinu muhimu inayohitajika kama vile umeme, maji, na mazingira tulivu.


SHULE  ZA MSINGI ZA SERIKALI:

Kata ya Kawe inazo shule za awali na za msingi saba (07) za serikali ambazo ni:

  1. Shule ya msingi Ukwamani
  2. Shule ya msingi Mirambo
  3. Shule ya msingi Lugalo
  4. Shule ya msingi Kawe A
  5. Shule ya msingi Tumaini
  6. Shule ya msingi Kawe B
  7. Shule ya msingi Mbezi Beach


SHULE ZA MSINGI ZA BINAFSI:

  1. Shule ya msing Feza
  2. Shule ya msingi Ally Hassan Mwinyi
  3. Shule ya msingi Mwalimu Nyerere
  4. Shule ya msingi Bajeviro
  5. Shule ya msingi Liberman
  6. Shule ya msingi Right Way
  7. Shule ya Msingi Valentine Elite
  8. Shule ya Msingi St. Abuses Girls


SHULE ZA SEKONDARI ZA SERIKALI:

Kata ya Kawe inayo shule moja ya sekondari ya serikali ambayo ni Kawe Ukwamani.


SHULE ZA SEKONDARI ZA BINAFSI:

  1. Shule ya Sekondari Feza Girls
  2. Shule ya Sekonadri Qibratain
  3. Shule ya Sekondari Mwambao


HALI YA AFYA:

Hali ya Afya katika Kata ya Kawe ni ya kuridhisha kwani ina Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati za serikali na binafsi.


HOSPITALI ZA SERIKALI KATIKA KATA YA KAWE:

  1. Hospitali ya Jeshi ya Lugalo
  2. Hospitali ya IMTU hospital, 
  3. MDM Mult specialized hospital


KLINIKI ZA BINAFSI ZILIZOPO KATA YA KAWE:

  1. St. Lawrence diabetic clinic, 
  2. Esperance physiotherapy centre 
  3. Agakhan Polyclinics 
  4. Head to toe specialized orthopedic and physiotherapy 
  5. Unicare specialized clinic


ZAHANATI ZA SERIKALI ZILIZOPO KATA YA KAWE:

  1. Zahanati ya Kawe
  2. Zahanati ya JKT


ZAHANATI ZA BINAFSI ZILIZOPO KATA YA KAWE:

  1. Red cross 
  2. Antonio verna 
  3. St. brendani 
  4. St. Ndahani 
  5. Latortis


HALI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA NA MIFEREJI:

Kata ya Kawe ina barabara 4 za kiwango cha lami ambazo ni Mwai Kibaki, Old Bagamoyo, Whitesands  na barabara ya JK.

  1. Barabara ya Mwai Kibaki kuanzia daraja la Mlalakuwa hadi Africana makutano ya barabara ya Bagamoyo.
  2. Barabara ya Kawe inayoanzia round-about ya Kawe hadi njia panda ya Kawe makutano ya barabara ya Bagamoyo.

Barabara hizi zina mifereji inayotunzwa na Manispaa ya Kinondoni pamoja na TANROADS. Kadhalika Kata ya Kawe inazo barabara za vumbi za  Mitaa ambazo zipo chini ya Manispaa.


HALI YA USAFI WA MAZINGIRA KATIKA KATA:

Hali ya usafi wa mazingira katika Kata ya Kawe kwenye makazi ya watu, taasisi binafsi na za serikali inaridhisha. Mitaa yote inayo Wakandarasi wa ukusanyaji na uzoaji wa taka ngumu na malipo ya ushuru wa takataka ni kwa kutumia vifaa vya kielektroniki.


HALI YA MAHUSIANO YAWADAU MBALIMBALI:

Mahusiano na ushirikiano katika Kata kati ya Mamlaka ya Serikali na wakazi ni mazuri, hali ambayo inarahisisha shughuli za kiserikali kama vile usafi wa wiki, katika Kata na mambo mengine.


HALI YA MAENDELEOYA WATU NA MAKAZI:

Kata ya Kawe yapo maeneo ambayo ni makazi holela kwa mtaa wa Mzimuni na Ukwamani. Pia yapo  baadhi ya maeneo ni ya kupimwa ambayo ni ya mtaa wa Mbezi Beach A na Mbezi Beach B na yapo maeneo ambayo hayajapimwa.

Matangazo

  • KUFUTA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA March 13, 2023
  • TANGAZO KWA WASIOLIPIA VIWANJA BOKO DOVYA (KWA SOMJI) NA SALASALA February 15, 2023
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • JAPAN YAIPATIA MSAADA MZIMUNI SEKONDARI

    March 15, 2023
  • VIKUNDI VYAASWA MATUMIZI SAHIHI YA MIKOPO

    February 18, 2023
  • "HAKUNA TIMU KUBWA ZAIDI YA KMC FC"

    February 18, 2023
  • ULINZI NI KIPAUMBELE KINODONI-DC SAAD

    February 12, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

VIKUNDI VILIVYOSEPA NA BILIONI 11 VYAKALIWA KOONI MANISPAA YA KINONDONI. REJESHENI...
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • TAARIFA KWA UMMA
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.