Tarehe iliyowekwa: November 3rd, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ametoa siku saba kubomolewa kwa nyumba zote za madanguro katika eneo la Mwananyamala.
Mhe. Chalamila ametoa wito huo leo Novemba 03, 2023 katika ...
Tarehe iliyowekwa: November 2nd, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametoa siku 14 kwa wakazi wa Mtaa wa Kijijini Kata ya Kawe waliojenga karibu na barabara kuondoka mara moja.
Mhe. Saad amesema hayo leo Novemba 02, 20...
Tarehe iliyowekwa: November 2nd, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule amewasihi Wananchi kuendelea kuchukua tahadhali ili kuepukana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua zinaendelea kunyesha wakati huu.
Mhe. Saad ame...