• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fukwe na Visiwa
    • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Matukio ya Utalii
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Iliyopangwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio

Kilimo, Mifugo na Uvuvi

Lengo

Kukuza mabadiliko na maendeleo ya kilimo, umwagiliaji, mifugo na uvuvi.

Majukumu ya Idara ni kama ifuatavyo: -

  1. Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria na Udhibiti wa kilimo, umwagiliaji, Mifugo na Uvuvi;
  2. Kupendekeza viwango na bei za bidhaa na huduma zitokanazo na kilimo, mifugo na uvuvi;
  3. Kuandaa mipango na programu fupi na ndefu za maendeleo ya kilimo, umwagiliaji, mifugo na uvuvi;
  4. Kusimamia uendelezaji na utawala bora wa vyama vya ushirika katika Halmashauri;
  5. Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau wanaohusika na kilimo, umwagiliaji, mifugo na uvuvi;
  6. Kuandaa taarifa za kilimo, umwagiliaji, mifugo na uvuvi; na
  7. Kusimamia ukusanyaji na udhibiti wa mapato ya shughuli za kilimo, umwagiliaji, mifugo na uvuvi.

Idara hii itaongozwa na Mkuu na itajumuisha Sehemu tatu (3): -

  1. Sehemu ya Kilimo;
  2. Sehemu ya Mifugo; na
  3. Sehemu ya Uvuvi.


Sehemu ya Kilimo

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo:-

  1. Kutayarisha na kutekeleza programu za usambazaji wa mbolea katika maeneo mbalimbali ya mauzo;
  2. Kuandaa programu za kupanga na kuhifadhi pembejeo za kilimo;
  3. Kufanya uchunguzi wa udongo wa sampuli za shamba la mkulima na ushauri ipasavyo;
  4. Kutoa ushauri kwa wakulima kuhusu, utunzaji baada ya mavuno, usindikaji wa mazao ya kilimo na uongezaji thamani wa mazao ya kilimo;
  5. Kukadiria mavuno/uzalishaji wa mazao muhimu;
  6. Kufanya kazi za takwimu na sensa ya kilimo;
  7. Kufanya maonyesho ya majaribio ya aina mbalimbali na mbolea kutoka kwa sehemu ya Halmashauri nzima;
  8. Kusimamia uendelezaji na utawala bora wa vyama vya ushirika;
  9. Kuratibu uwekaji hifadhi ya hatua za ulinzi wa mbolea/mimea katika ngazi ya kijiji;
  10. Kuandaa kambi za mafunzo kwa wakulima katika ngazi ya kijiji;
  11. Kutayarisha na kutekeleza mpango wa mseto wa mazao hasa kwa maeneo ya umwagiliaji kwenye vitalu;
  12. Kutekeleza Programu ya Maendeleo ya Bayogesi;
  13. Kupanga, kubuni, kujenga na kudumisha skimu za umwagiliaji;
  14. Kuwezesha uundaji wa mashirika ya wamwagiliaji na kuhakikisha kuwa mashirika yanapewa ujuzi unaohitajika kwa ajili ya usimamizi bora na endelevu wa umwagiliaji;
  15. Kusaidia utungaji na utekelezaji wa sheria ndogo za umwagiliaji na Chama cha Wamwagiliaji katika maeneo yao; na
  16. Kutoa huduma za mrejesho kwa wakulima katika skimu ya umwagiliaji kwa kuanzisha timu za usimamizi wa skimu za umwagiliaji.

Sehemu hiyo itaongozwa na Afisa Mfawidhi.


Sehemu ya Mifugo

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo: -

  1. Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na taratibu za Mifugo;
  2. Kuandaa mpango na programu ya muda mfupi na mrefu ya kuendeleza mifugo;
  3. Kutathmini uhifadhi na matumizi ya rasilimali za mifugo;
  4. Kusimamia uendelezaji na utawala bora wa vyama vya ushirika;
  5. Kutoa msaada wa kiufundi kwa wadau wa sekta ya mifugo; na
  6. Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu mifugo.

Sehemu hiyo itaongozwa na Afisa Mfawidhi.


Sehemu ya Uvuvi

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo:-

  1. Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na taratibu za uvuvi;
  2. Kuandaa mpango na programu ya muda mfupi na mrefu kwa ajili ya kuendeleza rasilimali za uvuvi;
  3. Kutathmini uhifadhi na matumizi ya rasilimali za uvuvi;
  4. Kusimamia uendelezaji na utawala bora wa vyama vya ushirika
  5. Kutoa msaada wa kiufundi kwa wadau wa sekta ya uvuvi; na
  6. Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusika na uvuvi.

Sehemu hiyo itaongozwa na Afisa Mfawidhi.

Matangazo

  • KUFUTA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA March 13, 2023
  • TANGAZO KWA WASIOLIPIA VIWANJA BOKO DOVYA (KWA SOMJI) NA SALASALA February 15, 2023
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • JAPAN YAIPATIA MSAADA MZIMUNI SEKONDARI

    March 15, 2023
  • VIKUNDI VYAASWA MATUMIZI SAHIHI YA MIKOPO

    February 18, 2023
  • "HAKUNA TIMU KUBWA ZAIDI YA KMC FC"

    February 18, 2023
  • ULINZI NI KIPAUMBELE KINODONI-DC SAAD

    February 12, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

VIKUNDI VILIVYOSEPA NA BILIONI 11 VYAKALIWA KOONI MANISPAA YA KINONDONI. REJESHENI...
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • TAARIFA KWA UMMA
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.