Tarehe iliyowekwa: November 22nd, 2023
Kampuni ya King Lion leo Novemba 22, 2023 imekabidhi msaada ya pikipiki tano aina ya Kinglion zenye thamani ya milioni 12.5 kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Oysterbay.
Akipoke...
Tarehe iliyowekwa: November 21st, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule amewataka wanawake wajasiriamali kuachana na mikopo kausha damu.
"Tusiendelee kwenda kuchukua mikopo ile asubuhi unakopa laki mbili jioni unatak...
Tarehe iliyowekwa: November 20th, 2023
Kufuatia mfululizo wa mvua zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali, Kamati ya Maafa ya Wilaya ya Kinondoni imefanya ziara Novemba 20, 2023 Kata za Bunju na Wazo huku ikiwatahadharisha wananchi kuhama...