Tarehe iliyowekwa: September 30th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ameahidi kuendelea kushirikiana na wadau wa mazingira ili kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na salama hata wakati wa mvua za mafuriko.
Mhe. Saad ame...
Tarehe iliyowekwa: September 25th, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kupitia Divisheni ya Lishe kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo Rikolto na watoa huduma ngazi ya jamii (CHW) waendelea kutoa elimu juu ya ...
Tarehe iliyowekwa: September 25th, 2023
Shule 34 za Sekondari kutoka Manispaa ya Kinondoni zimepatiwa mafunzo ya mfumo mpya wa ununuzi ya kielektroniki.
Mafunzo hayo yametolewa leo Septemba 25, 2023 katika Shule ya Sekondari Mbweni Teta ...