Tarehe iliyowekwa: January 17th, 2024
Wenyeviti wa Mitaa na Watendaji wa Kata zote za Manispaa ya Kinondoni wametakiwa kuimarisha usafi kwenye Kata zao ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu.
Rai hiyo imetolewa leo ...
Tarehe iliyowekwa: December 20th, 2023
Madawati ya jinsia katika masoko yametakiwa kutunza siri za wateja wanaowahudumia.
Hayo yalibainishwa Disemba 20, 2023 na Bi. Reinfrida Mathayo, ambaye ni Kiongozi wa Ujumbe kutoka Wizara ya Maende...
Tarehe iliyowekwa: December 20th, 2023
Baraza la Biashara Wilaya ya Kinondoni limeazimia kuibadilisha Kinondoni kuwa kitovu cha uwekezaji nchini.
Maazimio hayo yalifikiwa Desemba 20,2023 wakati wa kikao cha kawaida cha Baraza hilo. Kika...