• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fukwe na Visiwa
    • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Matukio ya Utalii
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Iliyopangwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio

Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe

Lengo

Kutoa huduma bora za afya, ustawi wa jamii na lishe kwa ustawi wa jamii. Majukumu ya Idara hii ni kama ifuatavyo: -

  1. Kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za utoaji wa huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe;
  2. Kuandaa mipango na programu za muda mfupi na mrefu za sekta ya afya katika Halmashauri;
  3. Kukuza ushiriki wa wadau mbalimbali katika shughuli za afya, ustawi wa jamii na lishe;
  4. Kutayarisha na kuwasilisha taarifa za huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe kwa mamlaka husika;
  5. Kuandaa mikakati ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza;
  6. Kusimamia miradi ya afya, ustawi wa jamii na lishe; na
  7. Kusimamia kanzidata ya masuala ya afya, ustawi wa jamii na huduma za lishe.

Idara hii itaongozwa na Mkuu ambaye pia atakuwa Mganga Mfawidhi wa Halmashauri (CMoH). 

Idara itakuwa na Sehemu tatu (3) kama ifuatavyo: -

  1. Sehemu ya Huduma za Afya;
  2. Sehemu ya Ustawi wa Jamii; na
  3. Sehemu ya Huduma za Lishe.


Sehemu ya Huduma za Afya

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo: -

  1. Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria, na Taratibu za huduma za afya;
  2. Kushauri kuhusu uratibu na kujenga uwezo wa huduma za afya;
  3. Kuandaa mipango na programu za muda mfupi na mrefu za huduma za afya;
  4. Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau kuhusu masuala ya huduma za afya; na
  5. Kufanya ufuatiliaji na tathmini ya magonjwa ya mlipuko, kuzuia magonjwa yasiyoambukiza, ya kuambukiza na ibuka katika vituo vyote, jamii na sehemu za kuingilia.

Sehemu hii itaongozwa na Afisa Mfawidhi.


Sehemu ya Ustawi wa Jamii

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo: -

  1. Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za uboreshaji wa ustawi wa jamii;
  2. Kuandaa mipango na miradi ya muda mfupi na mrefu ya Ustawi wa Jamii;
  3. Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya ustawi wa jamii;
  4. Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu Ustawi wa Jamii; na
  5. Kutayarisha taarifa zinazohusiana na ustawi wa jamii.

Sehemu hii itaongozwa na Afisa Mfawidhi.


Sehemu ya Huduma za Lishe

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo: -

  1. Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za uboreshaji lishe;
  2. Kuandaa mipango na miradi ya muda mfupi na mrefu ya lishe;
  3. Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya lishe;
  4. Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu lishe;
  5. Kutayarisha taarifa zinazohusiana na lishe ya jamii;
  6. Kuhamasisha jamii kuhusu masuala ya lishe;
  7. Kufuatilia na kutathmini utoaji wa huduma za lishe katika Halmashauri;
  8. Kukusanya na kuchambua taarifa za huduma za lishe; na
  9. Kutoa huduma za lishe kwa watoto, watu wazima na watu wenye mahitaji maalum.

Sehemu hii itaongozwa na Afisa Mfawidhi.

Matangazo

  • KUFUTA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA March 13, 2023
  • TANGAZO KWA WASIOLIPIA VIWANJA BOKO DOVYA (KWA SOMJI) NA SALASALA February 15, 2023
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • JAPAN YAIPATIA MSAADA MZIMUNI SEKONDARI

    March 15, 2023
  • VIKUNDI VYAASWA MATUMIZI SAHIHI YA MIKOPO

    February 18, 2023
  • "HAKUNA TIMU KUBWA ZAIDI YA KMC FC"

    February 18, 2023
  • ULINZI NI KIPAUMBELE KINODONI-DC SAAD

    February 12, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

VIKUNDI VILIVYOSEPA NA BILIONI 11 VYAKALIWA KOONI MANISPAA YA KINONDONI. REJESHENI...
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • TAARIFA KWA UMMA
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.