Tarehe iliyowekwa: January 26th, 2024
Kamati ya Huduma za Uchumi, Afya na Elimu kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Diwani wa Kata ya Kigogo Mheshimiwa Richard Mgana, Januari 26, 2024 imefan...
Tarehe iliyowekwa: January 26th, 2024
Manispaa ya Kinondoni Januari 26, 2024 imetembelewa na Mkurugenzi Msaidizi OR- TAMISEMI Dkt. Paul Chaote na kukagua utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu ya Hospitali ya Wilaya Mabwepande na Kituo cha ...
Tarehe iliyowekwa: January 25th, 2024
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Bi. Hanifa Suleiman Hamza amepokea tuzo Januari 25, 2024 kutoka kwa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Kinondoni.
Akikabidhi tuzo hiyo Bi. Rehema Manding...