Tarehe iliyowekwa: August 31st, 2024
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mheshimiwa Songoro Mnyonge akiongoza wadau wa mazingira kwenye zoezi la usafi wa mwisho wa mwezi uliofanyika katika Fukwe za Coco.
...
Tarehe iliyowekwa: August 31st, 2024
Wananchi na wadau wa Mazingira Wilaya ya Kinondoni wajitokeza kufanya usafi wa mwisho wa mwezi katika Zahanati ya Kijitonyama Agosti 31, 2024.
...