Tarehe iliyowekwa: June 16th, 2024
Watoto kutoka Shule mbalimbali za Manispaa ya Kinondoni wakiwa kwenye maandamano mafupi yenye lengo la kupinga ukatili dhidi ya Watoto katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yenye kauli mbiu is...
Tarehe iliyowekwa: June 14th, 2024
Mwenyekiti wa SUMAUJATA, Bi. Leah Makundile, ameitaka jamii kukomesha lugha za matusi kwa watoto wawapo Shuleni na Majumbani ili kutowaharibu akili za watoto.
Bi. Makundile aliyasema hayo wakati wa...
Tarehe iliyowekwa: June 14th, 2024
Katika kukabiliana na mmomonyoko wa maadili Wilayani Kinondoni, Wajumbe wa Kamati ya Usalama, Viongozi wa Dini na Wadau wameunda Kamati itakayojulikana kama Kinondoni Maadili Champion.
Hatua hi...