Tarehe iliyowekwa: June 13th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mkuu wa Wilaya ya Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi ameongoza kikao cha usuluhishi wa migogoro hiyo Juni 12, 2024.
...
Tarehe iliyowekwa: June 13th, 2024
Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa kwa mfumo wa Ghorofa unaendelea katika Shule ya Sekondari Tandale iliyopo Kata ya Tandale, Manispaa ya Kinondoni.
...
Tarehe iliyowekwa: June 13th, 2024
Ujenzi wa Vyumba kumi vya Madarasa kwa mfumo wa Ghorofa unaendelea katika Shule ya Sekondari Songoro Mnyonge iliyopo Kata ya Wazo, Manispaa ya Kinondoni.
...