• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

Mzimuni

HISTORIA FUPI:

Kata ya Mzimuni ndio Kata kongwe ambayo ndiyo iliyobeba watu mashuhuri, waasisi wa Chama Tawala, na wapigania Uhuru waliopanga mikakati ya kuikomboa Tanganyika na kuwa huru. Mwalimu Nyerere alijenga nyumba na kuishi hapo ambapo kwa sasa ni Makumbusho ya Taifa.

Viongozi wengine wa kitaifa waliokuwa wakiishi hapo ni pamoja na: - Rashid Mfaume Kawawa, Abdul Kandoro, Ndugu Kambona, Sheikh Amri Abeid Kaluta, Mzee Songambele, Lucy Lameck, Chifu Abdallah Fundikira, Tewa said Tewa.      

ASILI YA JINA LA MZIMUNI: - Jina la Mzimuni limetokana na uwepo na msitu na pori kubwa lenye wanyama wakali pamoja na nyoka wengi, na ndani ya eneo hilo kulikuwa na visima viwili vya chemchem. Kimoja kati ya visima hivyo kilikuwa kinatoa maji mengi ambayo watu walikuwa wakiyatuia kwa kunywa, kuoga (kuondosha mikosi/matatizo mbalimbali) mfano wenye ugonjwa na kwa matambiko ya kijadi.

Kisima hiko kilikuwa na maajabu wakati mwingine maji yake hua mekundu au meusi, na ikalazimika watu wasiende katika kisima hiko kati ya saa 6 hadi 8 mchana, na saa 12 jioni na kisima kingine maji yake yalikua yakitoka katikati ya mwembe mkubwa, na kilikuwa na nyoka mkubwa, ambapo watu na wanyama wakifika katika kisima hiko, walikua wakipotea.

Mmoja wa wazee marufu Bwana Ramadhani Madogoli, ndiye alikua akitumia sana eneo hilo kwa shughuli za matambiko, ikiwemo ngoma ya asili iitwayo Mganda. Pia kulikua na mwembe ng'ongo mkubwa na katikati ya shina la mwembe huo palikua na tundu la wazi ambapo wakati mwingine unaweza kukuta chakula au fedha. 

Lakini pia palikuwa na makaburi ya asili ambayo nyakati za usiku kulikuwa na mambo ya ajabu.  Na wakazi wa eneo hilo walikua wakisoma shule ya Mzizima, ndipo baadaye Wazungu wakataka kujenga hospitali, lakini wazee walikataa na kuomba wajengewe shule, na hatimaye eneo hilo likajengwa shule ya msingi na kuitwa Mzimuni ambayo ilikwepo kabla ya uhuru miaka ya 1954. Hospitali/Kituo cha Afya kikajengwa eneo la Magomeni na miongoni mwa watu maarufu waliosoma shule ya msingi Mzimuni ni: -  Ramadhani Dau, Juma Kapuya, Saidi Mwambungu n.k

Madiwani wa kwanza waliongoza Kata hii ni pamoja na Mzee Luyaya, Mzee Chambuso, Ally Bwamkuu (2000) na Abdulkarim Mtoni (2000 – 2010).

 

IDADI YA MITAA:

Kata ya Mzimuni ina jumla ya mitaa minne (04) ya Kiserikali ambayo ni: -

  1. Idrisa
  2. Makumbusho
  3. Mwinyimkuu
  4. Mtambani


HALI YA ELIMU KATIKA KATA:

Hali ya elimu katika Kata ni ya kuridhisha, hasa elimu ya awali, msingi na sekondari za serikali na binafsi.


SHULE ZA MSINGI ZA SERIKALI:

IDADI YA MITAA

Mitaa inayopatikana katika Kata ya Mzimuni;

  • Makumbusho
  • Idrisa
  • Mtambani
  • Mwinyimkuu

IDADI YA WATU-JUMLA 21486

KE-11047

ME-10438

 

HALI YA ELIMU

 Jumla ya shule ni 5;

 Msingi 4 na

 Sekondari 1

  • SHULE ZA MSINGI (SERIKALI)
  •  Mikumi
  •  Mzimuni

(Binafsi)

  • Sheikhat Hissa Islamic Primari & Secondary School
  • Nuru Islamic Secondary School
  • Shule za sekondari;
  • Mzimuni


Idadi ya wanafunzi Kata ya Mzimuni-


•Shule za msingi;
2.Shule ya msingi Mikumi –Ke288  Me 264 =552
3.Shule ya msingi Mzimuni-Ke 385 Me 351 =736
4.Sheikhat Hissa Islamic Primari & Secondary School-Ke 165 Me 138 =305
5. Nuru Islamic Secondary School-Ke 28 Me 26 =54



  • NA
  • JINA LA SHULE
  • WAVULANA
  • WASICHANA
  • JUMLA
  • 1.
  • MIKUMI
  • 288
  • 264
  • 552
  • 2.
  • MZIMUNI
  • 385
  • 351
  • 736
  • 3.
  • SHEIKHAT HISSA ISLAMIC &  PRIMARY  SECONDARY
  • 165
  • 138
  • 305
  • 4.
  • NURU ISLAMIC SECONDARY
  • 28
  • 26
  • 54
  • Shule za sekondari;
  • Shule ya Sekondari Mzimuni-Ke 560 Me 510 =1070
  •                 Serikali

    Kata ya Mzimuni ina Zahanati 3, moja ya Serikali na mbili za Binafsi.

    HALI YA AFYA KATIKA KATA

    • NA
    • JINA LA SHULE
    • WAVULANA
    • WASICHANA
    • JUMLA
    • 1.
    • MZIMUNI
    • 560
    • 510
    • 1070

    • Zahanati ya Mzimuni
  •                  Binafsi 


    • Omega Dental Clinic
    • Mosha Dental Clinic
  • Kata ya Mzimuni imetekeleza na inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ikiwemo ya Elimu na Miundombinu.

    MIRADI

    Kata ya Mzimuni ina jumla ya barabara 47 katika Mitaa yake 4, Mtaa wa Idrisa una barabara 18, Makumbusho 16, Mtambani 10 na Mwinyimkuu 3. Katika hizo kuna barabara 4 zenye lami pia imepitiwa na barabara kuu mbili Mashariki-Magharibi Barabara ya Kawawa na barabara ya Morogoro upande wa Kasikazini.

    HALI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA


    • Ujenzi wa uzio wa shule ya Msingi Mikumi, ujenzi wake umefikia kiwango cha plasta na gharama yake ni milioni 70Tsh. (PICHA)
    • Ujenzi wa Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Mtambani ambao umefikia kiwango cha Lenta na gaharama ni Milioni 10Tsh. PICHA)
    • Mpango wa Ujenzi wa Barabara ya Makumbusho ya Mwalimu Nyerere kiwango cha lami katika Mtaa wa Makumbusho bado haujaanza. picha
    • Ukarabati wa matundu 13 ya vyoo katika Shule ya Msingi Mzimuni ambao utagharimu Milioni 7,781,000. Bado haujaanza. (PICHA)
  • Kata ya Mzimuni ina soko moja la Biashara ambalo ni Soko la Magomeni, Shughuli kuu za kiuchumi wanazoshughulika nazo Wakazi wa Mzimuni ni Biashara na Kuajiriwa.

    BIASHARA NA UWEKEZAJI


Kata ya Mzimuni ina soko moja la Biashara ambalo ni Soko la Magomeni, Shughuli kuu za kiuchumi wanazoshughulika nazo Wakazi wa Mzimuni ni Biashara na Kuajiriwa.

VIVUTIO VYA UTALII

Kata ya Mzimuni ina kivutio kimoja cha utalii ambacho ni Nyumba ya Kumbukizi ya Rais wa kwanza wa Tanzania Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere iliyopo Mtaa wa Makumbusho. (PICHA)

ULINZI NA USALAMA

Kata ya Mzimuni ina vituo viwili vya polisi ambavyo ni

  • Kituo kikubwa cha Magomeni Usalama
  • Kituo kidogo cha Madaba

Pia kila Mtaa una kikundi cha ulinzi na usalama (Sungusungu)

MAAFISA NGAZI YA KATA

  • Afisa Mtendaji Kata 1
  • Watendaji wa Mitaa 4
  • Afisa Elimu Kata 1
  • Afisa Afya Kata 2
  • Afisa Maendeleo ya Jamii 1

MAHUSIANO NA WADAU WA MAENDELEO:

Mahusiano na wadau wa maendeleo yapo vizuri, ambapo Kata inapata ushirikiano toka kwa wadau wafuatayo: - Benki ya NMB, TOTAL Petrol Station, HOTEL TRAVETINE, NORTHELAND HOTEL, BUTIAMA HOTEL, MIKUMI IN HOTEL, KISUMA BAR AND LODGE n.k

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.