Tarehe iliyowekwa: December 18th, 2023
Imeelezwa kuwa matone ya Vitamini 'A' kwa watoto husaidia kukinga tatizo la vipele vya ngozi kwa watoto chini ya umri wa miaka Mitano.
Hayo yamebainishwa Desemba 18, 2023 na Muuguzi wa Kit...
Tarehe iliyowekwa: December 9th, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeboresha zaidi mazingira ya uwekezaji katika kipindi cha miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania.
Hayo yamebainishwa leo Desemba 9, 2023 ma Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ...
Tarehe iliyowekwa: December 9th, 2023
Halmashuri ya Manispaa ya Kinondoni inajivunia kuwa na maendeleo lukuki katika kipindi cha miaka 62 ya uhuru wa Tanzania.
Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Bw. Jabir C...