Tarehe iliyowekwa: August 18th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Godwin Gondwe, ametoa saa 24 kwa DAWASCO kupeleka maji kwenye Soko la Wamachinga la Cocacola, Mwenge jijini Dar es Salaam.
Agizo hilo amelitoa leo wakati aki...
Tarehe iliyowekwa: August 16th, 2022
Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni wameombwa kushawishi na kukaribisha wawekezaji katika kuipa thamani taka.
Wito huo umetolewa leo na Mkuu wa Kitengo cha Mazingira, Manispaa ya Mjini, Zanzibar,...
Tarehe iliyowekwa: August 12th, 2022
Mkurugenzi Manispaa ya Kinondoni, Bi. Hanifa Suleiman Hamza, amewataka Watendaji Kata na Mitaa wa Manispaa hiyo kufanya kazi kwa uaminifu.
Mkurugenzi ameyasema hayo katika kikao kazi cha watendaji ...