Tarehe iliyowekwa: June 6th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh Alli Hapi ametoa mwezi mmoja kwa shule zote za Msingi na Sekondari katika Manispaa yake, kuwa na waalimu walezi wa kike na wakiume watakaokuwa na jukumu la kuwasikiliza...
Tarehe iliyowekwa: June 5th, 2018
Ni kauli yake Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akihutubia katika kilele cha maadhimisho ya Mazingira yaliyofanyika Kitaifa katika viwanja vya...
Tarehe iliyowekwa: June 5th, 2018
Manispaa ya Kinondoni leo wameungana na Halmashauri nyingine kote nchini , kusherehekea kilele cha maadhimisho ya wiki ya Mazingira chenye kauli mbiu isemayo "Mkaa ni gharama, tumia nishati mmbadala "...