• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fukwe na Visiwa
    • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Matukio ya Utalii
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Iliyopangwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio

Kunduchi

HISTORIA FUPI:

Kata ya Kunduchi ilianzishwa mwaka 1970 na uchaguzi wa kwanza wa viongozi wa vijiji ulifanyika mwaka 1971. Eneo la Kata ya Kunduchi wakati wa ukoloni lilijulikana kwa jina la MAWENI eneo ambalo kwa kipindi hicho au mpaka sasa lina machimbo ya kokoto na mawe.

Maana ya neno Kunduchi MAKALIO KUWA WAZI kutokana na wakazi wake kuwa na mazoea ya kuvaa nguo nusu ili zisilowe walipokuwa wanavuka maji ya bahari kuelekea mtumbwini. Neno hili ni la Kizaramo.

 

IDADI YA MITAA:

Kata ya Kunduchi ina jumla ya mitaa sita (06) ya Kiserikali ambayo ni: -

  1. Mtaa wa Kilongawima
  2. Mtaa wa Kondo
  3. Mtaa wa Mtongani
  4. Mtaa wa Pwani
  5. Mtaa wa Ununio
  6. Mtaa wa Tegeta

 

HALI YA ELIMU KATIKA KATA:

Hali ya elimu katika Kata ya Kunduchi ni ya kuridhisha, hasa elimu ya awali, msingi, sekondari na uwepo wa chuo cha elimu ya juu.


SHULE ZA MSINGI ZA SERIKALI:

Kata ya Kunduchi inazo shule za msingi saba (07) za serikali kama ifuatavyo: -

  1. Shule ya msingi Kunduchi
  2. Shule ya msingi Mtakuja
  3. Shule ya msingi Mtongani
  4. Shule ya msingi Jangwani beach
  5. Shule ya msingi Pwani
  6. Shule ya msingi Ununio
  7. Shule ya msingi Pius Msekwa


SHULE ZA AWALI ZA BINAFSI:

Kata ya Kunduchi ina shule za awali za binafsi kumi (10) kama ifuatavyo: -

  1. St. Thomas nursery school
  2. Makini nursery school 
  3. St. Joseph
  4. Education Plus
  5. Canosa 
  6. Milestone
  7. Princess gate
  8. Bahari
  9. Bright hope
  10. Sky School nursery


SHULE ZA MSINGI ZA BINAFSI:

Kata ya Kunduchi inazo shule za msingi kumi (10) za binafsi kama ifuatavyo: -

  1. Shule ya msingi Royal Elite
  2. Shule ya msingi St. Thomas
  3. Shule ya msingi Makini
  4. Shule ya msingi St. Joseph
  5. Shule ya msingi Education
  6. Shule ya msingi Canosa
  7. Shule ya msingi Milestone
  8. Shule ya msingi Princess gate
  9. Shule ya msingi Bahari
  10. Shule ya msingi Bright hope


SHULE ZA SEKONDARI ZA SERIKALI:

Kata ya Kunduchi inazo shule mbili (02) za sekondari za serikali kama ifuatavyo: -

  1. Shule ya sekondari Kondo
  2. Shule ya sekondari Mtakuja


SHULE ZA SEKONDARI ZA BINAFSI:

Kata ya Kunduchi inazo shule tano (05) za sekondari za binafsi kama ifuatavyo: -

  1. Shule ya sekondari Canossa
  2. Shule ya sekondari Feza
  3. Shule ya sekondari Ghomme
  4. Shule ya sekondari Kunduchi
  5. Shule ya sekondari Ununio Islamic


CHUO KIKUU KILICHOPO KATIKA KATA:

Kata ya Kunduchi ina Chuo Kikuu kimoja cha serikali kinachojulikana kwa jina la Chuo Kikuu Mzumbe.


HALI YA AFYA:

Hali ya Afya katika Kata ya Kunduchi ni ya kuridhisha kwani ina Hospitali, Kituo cha Afya na Zahanati za serikali na binafsi.


HOSPITALI YA BINAFSI ILIYOPO KATIKA KATA:

  1. SPECIALIZED MEDICAL HOSPITAL - Mtongani


KITUO CHA AFYA KILICHOPO KATIKA KATA:

Kata ya Kunduchi ina Kituo cha Afya kimoja cha binafsi kinachoitwa Tegeta Mission.


ZAHANATI ZA SERIKALI ZILIZOPO KATIKA KATA:

Kata ya Kunduchi ina Zahanati tatu (03) za serikali kama ifuatavyo: -

  1. Zahanati ya Kunduchi
  2. Zahanati ya Tegeta
  3. Zahanati ya Ununio


ZAHANATI ZA SERIKALI ZILIZOPO KATIKA KATA:

Kata ya Kunduchi ina Zahanati saba (07) za binafsi kama ifuatavyo: -

  1. Zahanati ya MICO
  2. Zahanati ya TAIFORC
  3. Zahanati ya ST. THERESA
  4. Zahanati ya AAFA
  5. Zahanati ya DR. MHINA
  6. Zahanati ya NYANGA
  7. Zahanati ya NEW TEGETA


KLINIKI ZA BINAFSI ZILIZOPO KATIKA KATA:

  1. Kliniki ya Kwisa
  2. Kliniki ya Nyanga
  3. Kliniki ya Shree Hindu Mandal Polyclinic


HALI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA:

Hali ya miundombinu ya barabara katika Kata ya Kunduchi ni ya kuridhisha. Mtandao wa barabara za lami katika Kata ni barabara ya Tegeta Nyuki - Kondo, Kilongwima, Kunduchi beach, Ras Kilomoni.


MAHUSIANO NA WADAU WA MAENDELEO:

Mahusiano ya wadau wa maendeleo na uongozi wa Kata na mitaa ni mazuri. Kata inashirikiana na wadau mbalimbali katika kufanikisha shughuli zake. Wadau hao ni pamoja na Rottery Club, Massana hospitali, Water aid.

Matangazo

  • KUFUTA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA March 13, 2023
  • TANGAZO KWA WASIOLIPIA VIWANJA BOKO DOVYA (KWA SOMJI) NA SALASALA February 15, 2023
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • JAPAN YAIPATIA MSAADA MZIMUNI SEKONDARI

    March 15, 2023
  • VIKUNDI VYAASWA MATUMIZI SAHIHI YA MIKOPO

    February 18, 2023
  • "HAKUNA TIMU KUBWA ZAIDI YA KMC FC"

    February 18, 2023
  • ULINZI NI KIPAUMBELE KINODONI-DC SAAD

    February 12, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

VIKUNDI VILIVYOSEPA NA BILIONI 11 VYAKALIWA KOONI MANISPAA YA KINONDONI. REJESHENI...
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • TAARIFA KWA UMMA
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.