• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

Msasani

KATA YA MSASANI:

Kata ya Msasani ilikuwa inajulikana kwa jina la Mikoroshoni ambalo lilitokana na uwepo wa mikorosho mingi kwa wakati huo. Asili ya jina la Kata ya Msasani inasadikiwa kuwa ni kutokana na mtu maarufu aliyeishi maeneo hayo kipindi hicho aitwaye Mussa Hassan, na kutokana na wenyeji wa eneo hilo ambao walikuwa ni kabila la Wamakonde kushindwa kutamka kwa usahihi jina Mussa Hassan na kutamka Mucha Hachani na mwisho watu wakaanza kutamka Msasani.

Kata ya Msasani inapatikana Manispaa ya Kinondoni. Chimbuko la jina hili Msasani linatokana na miti iliyokuwa ikipatikana maeneo hayo iliyojulikana kama Msasa, Pia mtu angelikuwa na shida ya kumpata mtu aliambiwa akamtafute maeneo ya Msasani, Naam hapo ndipo jina Msasani lilipoanzia.

Kata hii kwa upande Magharibi imepakana na mto Mlalakuwa(Kawe), upande wa mashariki imepakana na Bahari ya Hindi, upande wa kaskazini imepakana na kisiwa cha Bagamoyo na kusini imepakana na Kinondoni(Mwaikibaki) .Enzi hizo wakazi wa maeneo hayo walikuwa wakijishughulisha na shughuli za kilimo na uvuvi. Kata hii imekuwa ni makazi ya viongozi ya viongozi mbalimbali wa Taifa na kimataifa ikiwemo Rais wa kwanza wa Tanzania Mwl Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake na mpaka sasa familia yake inaishi kata ya Msasani. Baada ya kuanzishwa kwake ilikuwa na Mitaa kama ifuatavyo:-

  • IDADI YA MITAA ILIYOPO KWENYE KATA:

    Kata ya Msasani ina mitaa mitano (05) kama ifuatavyo:-

    1.    Mtaa wa Oysterbay

    2.    Mtaa wa Masaki

    3.    Mtaa wa Bonde la Mpunga

    4.    Mtaa wa Makangira

    5.    Mtaa wa Mikoroshoni


IDADI YA WAKAZI KATA YA MSASANI

NA.
MTAA
ME
KE
JUMLA
1
Masaki
3976
3838
7814
2
Makangira
2530
2717
5247
3
Bonde la Mpunga
7253
7387
14640
4
Oysterbay
2371
2387
4758
5
Mikoroshoni
3855
4092
7947
 
JUMLA KUU
19985
20421
40406


         

 

. HALI YA ELIMU KATIKA KATA 

I.SHULE ZA AWALI/MSINGI NA SEKONDARI ZA SERIKALI 

SHULE ZA MSINGI 

NA.

JINA LA SHULE

IDADI YA WALIMU

 

IDADI YA WANAFUNZI

ME

KE

JUMLA

ME

KE

JUMLA

1
MBUYUNI
      4
      18

22

471

424

895

2
BONGOYO
      2
      11

13

185

175

360

3
OYSTERBAY
      3
      17

20

746

781

1527

4
MSASANI
      8
      14

22

246

230

476

5
MSASANI B
      2
        8

10

266

220

486

II.SHULE ZA SEKONDARI SERIKALI

NA.

JINA LA SHULE

IDADI YA WALIMU

 

IDADI YA WANAFUNZI

ME

KE

JUMLA

ME

KE

JUMLA

1

OYSTERBAY

11

16

27

516

506

1022

II.SHULE ZA AWALI/MSINGI NA SEKONDARI

SHULE ZA AWALI ZA BINAFSI

NA.

JINA LA SHULE

IDADI YA WALIMU

 

IDADI YA WANAFUNZI

ME

KE

JUMLA

ME

KE

JUMLA

1

LADY CHESHAM

-

3

3




 

SHULE ZA MSINGI ZA BINAFSI

NA.

JINA LA SHULE

IDADI YA WALIMU

 

IDADI YA WANAFUNZI

ME

KE

JUMLA

ME

KE

JUMLA

1

DRIVE INN

5

8

13

123

93

216

2

GOOD SAMARITAN

10

16

26

182

179

361

3

MSASANI ISLAMIC

12

15

27

244

212

456

4

PENINSULA

7

7

14

164

154

318

 

SHULE ZA SEKONDARI ZA BINAFSI

NA.

JINA LA SHULE

IDADI YA WALIMU

 

IDADI YA WANAFUNZI

ME

KE

 

ME

KE

JUMLA

1

MSASANI ISLAMIC

19

6

25

109

120

229

 

 

SHULE ZA MSINGI KIMATAIFA

NA.

JINA LA SHULE



1

AL IRSHAAD

2

GENESIS

3

BAY BRIDGE

4

STEPPING STONE

5

DAR ES SALAAM INDEPENDENT SCHOOL

6

FRANCE SCHOOL

7

MAPLE BLOOM

8

UPTON SCHOOL

 

SHULE ZA SEKONDARI KIMATAIFA

NA.

JINA LA SHULE



1

INTENATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA (IST)

2

ACADEMIC ACHEVERS

 

III.HALI YA AFYA KATIKA KATA 

  • ZAHANATI ZA SERIKALI 

NA

JINA LA ZAHANATI

IDADI YA WAUGUZI

 


ME

KE

JUMLA

1
ZAHANATI YA MIKOROSHONI

2

8

10

      ii.     ZAHANATI ZA BINAFSI

NA

JINA LA ZAHANATI

IDADI YA WAUGUZI

 

ME

KE

JUMLA

1
KITUO CHA HUDUMA YA AFYA BAKWATA

6

6

12

 2
MAJEY EYE CLINIC

3

4

7

3
SIHA EYE CLINIC

2

2

4







  • HOSPITAL ZA BINAFSI

NA

MTAA

HOSPITAL



1
MASAKI
  • SALI INTERNATAL
  • AGHAKHAN CLINIC
  • CRADLE
  • DAR ANIMAL CLINIC
  • PREMIER CARECLINIC
  • MASAKI HEALTH COMPREHENSIVE
  • DENTAL CLINIC INTEGRAL MEDICINE CLINIC

2
MAKANGIRA
  • CURE HEALTH SPECIALIZED CLINIC
  • CCBRT

3
BONDE LA MPUNGA
  • PENSULA
  • LANDON
  • SANITOUS
  • CARE PLUS

 

  4. HALI YA MIUNDOMBINU KATIKA KATA

Kata ya msasani inamchanganuo wa barara za lami kama ifuatavyo;

SN

MTAA

BARABARA

1
MASAKI
  • HAILESELASSIE ROAD
  •  CHOLE ROAD
  •  TOUR DRIVE ROAD
2
MIKOROSHONI
  • KIMWERI ROAD
  •  MAANDAZI ROAD
3
OYSTERBAY
  • MSASANI ROAD
  •  HAILE SELASIE ROAD
       -      TOUR DRIVE ROAD
       -       CHOLE ROAD
4
BONDE LA MPUNGA
  • MWAIKIBAKI ROAD
  • TANESCO ROAD
  • MAANDAZI ROAD
5
MAKANGIRA
  •  KIWERI ROAD
  •  ALI HASSAN MWINYI

5. BIASHARA NA UWEKEZAJI

Kata ya Msasani ina Masoko, Hotel na Viwanda kama ifuatavyo:-

IDADI YA MASOKO

NA.
MTAA
JINA LA SOKO
1
BONDE LA MPUNGA
- Soko la Samaki
- Soko la chakula

IDADI YA HOTEL

NA.
MTAA
JINA LA HOTEL
1
BONDE LA MPUNGA
- CAPE TOWN
- REGENCY PARK HOTEL
- MAYFAIR HOTEL
- HIGHLAND VILLA HOTEL
2
MASAKI
- GOLDEN TULIP HOTEL
- SEA CLIFF HOTEL
- SLIPWAY HOTEL
3
OYSTERBAY
- COLLESIUM HOTEL
- PROTEA HOTEL
- CORAL BEACH HOTEL
- OYSTERBAY HOTEL

IDADI YA VIWANDA

NA.
MTAA
JINA LA KIWANDA
1
BONDE LA MPUNGA

2
Makangira
  • TRIDO

 

6. HALI YA ULINZI NA USALAMA

Hali ya Ulinzi na usalama katika Kata ya Msasani ni ya kuridhisha hii inatokana na Mitaa yote kuwa na Vikundi vya Ulinzi Shirikishi ambavyo vinashirikiana na Jeshi la Polisi vizuri katika kuhakikisha maeneo yote ya Kata yanakuwa salama.

7. HALI YA USAFI WA MAZINGIRA

Hali ya usafi wa Mazingira Kata ya Msasani ni ya kuridhisha, kwasababu Mkandarasi wa uzoaji takataka wa Kata yetu anafanya kazi yake kwa ufanisi japo kuna changamoto ya kutokuzolewa taka kwa wakati kwa baadhi ya maeneo tofauti kutokana na changamoto wanayoipata wakandarasi dampo.

8. MIRADI YA MAENDELEO ILIYOPO KATIKA KATA 

S/N
JINA LA MRADI
FEDHA ZILIZOPOKELEWA
FEDHA ZILIZOTUMIKA
FEDHA ZILIZOBAKI
HALI YA MRADI
1
Ujenzi wa soko la chakula Kata ya Msasani
186,000,000
0.0
186,000,000
Mradi umesimama

 

9. MAHUSIANO NA WADAU MBALIMBALI

Kata ya Msasani inamahusiano mazuri na Wadau wakeambapo wadau hao wamekua wakishiriki katika shughuli mbalimbali za kimaendelea hasa katika sekta ya Elimu ambapo tumeweza kupata michangao mbalimbali ikiwemo

  • Ukarabati wa madarasa katika shule ya Msingi msasani B.
  • Ujenzi wa vyoo vya wasichana katika shule ya msingi Msasani.
  •  Kupewa computer na NMB kushirikiana na Taasisi ya Jenga Hub katika shule ya Msingi Msasani B.

MAAFISA NGAZI YA KATA

Kata ya Msasani ina Maafisa Ugani 14 ni kama ifuatavyo:-

  • ELIZABETH MINGA        -  Mtendaji wa Kata
  • Edwin Mlelwa                -  Mratibu wa Elimu
  • Diana Sawe                    -  Afisa Maendeleo ya Jamii
  • Kachiki Njovu                 -  Afisa Ustawi wa Jamii
  • Beatha B.Muntu            -  Afisa Mifugo
  • Sakina Omari                  - Afisa Afya
  • Annagrace E.Bubegwa  - Afisa Afya
  • Emmanuel Joseph          - Afisa Mifugo9
  • Eles Johansen                 -  Mtendaji wa Mtaa
  • Husseni Mavere             -  Mtendaji wa Mtaa
  • Salma Kheri                    -   Mtendaji wa Mtaa
  • Suniva  Kikungwe          -   Mtendaji wa Mtaa
  • Abdlahi Mkeyenge       -    Mtendaji wa Mtaa
  • Insp Kaaya                     -    Polisi Kata 


HALI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA:

Hali ya miundombinu ya barabara Kata ya Msasani ni ya kuridhisha kutokana na kuwa na mtandao mkubwa wa barabara za kiwango cha lami na chache ni za kiwango cha changarawe ambazo asilimia kubwa zipo katika hali nzuri zinazopitika katika misimu yote ya mwaka.


USAFI WA MAZINGIRA:

Usafi wa mazingira wa Kata hii ni wa kuridhisha kwani kila Mtaa una Wakandarasi wa usafi wanaozoa taka kwa wakati na hutumia mashine za kielektroniki.


MAHUSIANO NA WADAU:

Mahusiano ya wadau wa maendeleo na uongozi wa Kata na Mitaa ni mzuri, kwani wako mstari wa mbele kuchangia shughuli za kijamii na miradi ya maendeleo.


MRADI WA KUJIVUNIA:

Mradi wa kujivunia katika Kata ya Msasani ni ujenzi wa mfereji mkubwa wa maji ya mvua kutoka Mayfair hadi baharini ambao unasaidia kuondoa kero ya mafuriko katika Kata ya Msasani.


MIPANGOMIJI:

Kata ya Msasani eneo lake kubwa limepimwa na sehemu ndogo ya makazi holela ambako hakujapimwa hivyo kupelekea watu kupima wenyewe kunakoleteleza changamoto ya miundombinu ya barabara za mitaa.


Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.