Kamati ya Kudhibiti UKIMWI Halmashauri ya Kinondoni imeundwa na baadhi ya Madiwani pamoja na Wajumbe wengine kutoka Mashirika yasiyo ya Kiserikali.
Kamati hii inafanya vikao vyake mara moja kila baada ya miezi mitatu (kila robo) na Kisheria Mwenyekiti wa Kamati hii ni Naibu Meya wa Halmashauri Mhe. Joseph Rwegasira na Mganga Mkuu wa Halmashauri.
Kamati ya Kudhibiti UKIMWI inashughulika na kuweka Mipango na Mikakati mbalimbali ya kudhibiti UKIMWI katika Halmashauri.
Majukumu makuu ya Kamati ya Mpango wa Kudhibiti UKIMWI ni pamoja na:-
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.