Tarehe iliyowekwa: April 18th, 2024
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imetenga kiasi cha shilingi Milioni 300 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya ufukwe wa Coco, ikiwemo ujenzi wa maegesho ya magari ili kutatua changamoto za ...
Tarehe iliyowekwa: April 18th, 2024
Wafanyabiashara wanaofanya biashara kwenye ufukwe wa Coco wameaswa kuzingatia usafi kwenye maeneo ya biashara zao ili kuepukana na mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu.
Wito huo ulitolewa 18, Aprili ...
Tarehe iliyowekwa: April 18th, 2024
Shule ya Sekondari Makumbusho iliyopo Kata ya Makumbusho imezindua viti na meza 530 ikiwa ni mchango wa Manispaa ya Kinondoni wa kuboresha miundombinu ya kujifunzia.
Samani hizo zimezinduliwa na Di...