Tarehe iliyowekwa: November 29th, 2023
Mwenyekiti wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Taifa Bi. Fatuma Kange, amewataka wanawake wajasiriamali kutumia jukwaa la teknolojia kutangaza biashara zao ndani na nje ya Nchi.
Bi Fatu...
Tarehe iliyowekwa: November 29th, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imetenga kiasi cha shilingi bilioni 5.2 kwa ajili ya mikopo ya asilimia 10 kwa wajasiriamali kwa mwaka wa fedha 2023/2024.
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinon...
Tarehe iliyowekwa: November 25th, 2023
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (Mb) amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuwajibika kwa wananchi.
Mheshimiwa Mchengerwa ameyasema hayo leo Novemba 25, 20...