• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Matukio ya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo cha mijini
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji, mifugo na uvuvi
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Baraza la Madiwani
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Umma
  • Mifumo
    • NaPA
    • eMrejesho

Kigogo

HISTORIA FUPI:

Kata ya Kigogo ni miongoni mwa Kata 20 za Manispaa ya Kinondoni. Asili ya jina Kigogo ni uwepo wa gogo lilokuwepo maeneo ilipo Randa bar kwa sasa ambalo lilikuwa na asili ya maji yaliyopatikana hapo.

Eneo hilo pia lilitumika kwa ajili ya matambiko na wenyeji wa eneo hilo ambao asili yao ni Wazaramo. Kwa sasa gogo hilo halipo tena.

 

IDADI YA MITAA:

Kata ya Mzimuni ina jumla ya mitaa mitatu (03) ya Kiserikali ambayo ni: -

  1. Mtaa wa Kigogo Mkwajuni
  2. Mtaa wa Kigogo Kati
  3. Mtaa wa Kigogo Mbuyuni

 

HALI YA ELIMU KATIKA KATA:

Hali ya elimu katika Kata ni ya kuridhisha, hasa elimu ya msingi na sekondari kwa uwepo wa shule za serikali na binafsi.


SHULE ZA MSINGI ZA SERIKALI:

Kata ya Kigogo inazo shule za msingi nne (04) za serikali kama ifuatavyo: -

  1. Shule ya msingi Kigogo
  2. Shule ya msingi Mkwawa
  3. Shule ya msingi Mapinduzi
  4. Shule ya msingi Ruthihinda

 

SHULE ZA MSINGI ZA BINAFSI:

Kata ya Kigogo inazo shule za msingi mbili (02) za binafsi kama ifuatavyo: -

  1. Shule ya msingi Gonzaga
  2. Shule ya msingi Deep sea

 

SHULE YA SEKONDARI YA SERIKALI:

Kata ya Kigogo inayo shule moja ya sekondari inayojulikana kwa jina la shule ya sekondari ya Kigogo.


HALI YA AFYA:

Hali ya Afya katika Kata ya Tandale ni ya kuridhisha kwani ina Kituo cha Afya cha serikali na Zahanati ya serikali na za binafsi.


KITUO CHA AFYA KATIKA KATA YA KIGOGO:

Kata ya Kigogo ina Kituo cha Afya kimoja cha serikali kinachojulikana kwa jina la Kituo cha Afya Kigogo.


ZAHANATI YA SERIKALI ILIYOPO KATA YA KIGOGO:

Kata ya Kigogo ina Zahanati moja serikali inayojulikana kwa jina la Zahanati ya Kigogo.


ZAHANATI YA BINAFSI ZILIZOPO KATA YA KIGOGO:

Kata ya Kigogo ina Zahanati tano (05) za binafsi kama ifuatavyo: -

  1. Zahanati ya Azania
  2. Zahanati ya Arafa
  3. Zahanati ya Charitable
  4. Zahanati ya Moravian
  5. Zahanati ya Mafaransa


HALI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA:

Hali ya miundombinu ya barabara katika Kata ya Kigogo ni ya wastani. Barabara moja tu iliyo na lami iliyojengwa na mradi wa CIUP yenye urefu wa mita 300, barabara nyingine zote ni za vumbi za kuunganisha mitaa na hali yake siyo nzuri.


MAHUSIANO NA WADAU WA MAENDELEO:

Mahusiano ya wadau wa maendeleo na uongozi wa Kata na mitaa ni mazuri, kwani wako mstari wa mbele kuchangia shughuli za kijamii na miradi ya maendeleo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA April 13, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA DEREVA DARAJA II September 21, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI (TAREHE 20 SEPTEMBA, 2021) September 21, 2021
  • TANGAZO LA KUWAPANGA WAFANYABISHARA KATIKA MAENEO RASMI September 28, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya

  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU KINONDONI LAFANYIKA LEO

    May 18, 2022
  • KINONDONI KUFIKIA WATOTO TAKRIBANI 156871 KAMPENI YA SIKU NNE CHANJO YA POLIO KITAIFA

    May 18, 2022
  • MWENGE WA UHURU KINONDONI 2022, WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI TAKRIBANI BILIONI 3.9 FEDHA ZA KITANZANIA

    May 10, 2022
  • MEYA KINONDONI AFUTURISHA

    April 27, 2022
  • Tazama zote

Picha Jongefu

POSHO MADIWANI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • VITUO VYA KUKUSANYIA MAPATO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.