Tarehe iliyowekwa: August 24th, 2024
Picha mbalimbali zikionesha Ziara ya Waheshimiwa Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni, waliofanya ziara ya mafunzo katika Jiji la Mwanza. Ziara hiyo ilihusisha kujifunza ufugaji wa Samaki katika vizimba ...
Tarehe iliyowekwa: August 29th, 2024
Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya siku ya Moyo Duniani Septemba 29, 2024, Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na Taasisi ya Moyo ya Hospitali ya Muhimbili (JKCI) wamezindua zoezi la upimaji wa moy...
Tarehe iliyowekwa: August 23rd, 2024
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Songoro Mnyonge, Agosti 23,2024 ameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita, Kwa kuuendeleza na kuukamilisha wa mradi wa ujenzi wa daraja la linalounganish...