Tarehe iliyowekwa: August 26th, 2024
Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni ambae pia ni Diwani wa Kata ya Kunduchi Mheshimiwa Michael Urio amefanya ziara kwenye mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Abbas Tarimba Agosti 26, 2024 sambamb...
Tarehe iliyowekwa: August 24th, 2024
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeipongeza Manispaa ya Kinondoni kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo inayoeendana na thamani ya fedha zilizotengwa kwenye miradi hiyo.
...
Tarehe iliyowekwa: August 24th, 2024
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge TAMISEMI Mhe. Justin Nyamoga Mbunge ya Kilolo pamoja na Mhe. Zainab A. Katimba Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI (Elimu) wakiwa na Mbunge wa Hai Mhe. Saashisha Mafuwe...