Tarehe iliyowekwa: August 23rd, 2022
Wakati zoezi la Sensa ya watu na makazi likiendelea katika siku yake ya kwanza, Viongozi wakuu wastaafu nchini wamewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kuhesabiwa.
Hayo yamesemwa kwa nyakati ...
Tarehe iliyowekwa: August 18th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Godwin Gondwe, ametoa saa 24 kwa DAWASCO kupeleka maji kwenye Soko la Wamachinga la Cocacola, Mwenge jijini Dar es Salaam.
Agizo hilo amelitoa leo wakati aki...
Tarehe iliyowekwa: August 16th, 2022
Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni wameombwa kushawishi na kukaribisha wawekezaji katika kuipa thamani taka.
Wito huo umetolewa leo na Mkuu wa Kitengo cha Mazingira, Manispaa ya Mjini, Zanzibar,...