Tarehe iliyowekwa: April 5th, 2024
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imekabidhi misaada kwa watoto yatima wanaolelewa katika vituo vitano ndani ya Manispaa hiyo.
Makabidhiano hayo yalifanyika Aprili 5, 2024 wakati wa futari iliyo...
Tarehe iliyowekwa: April 4th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mheshimiwa Saad Mtambule amevipongeza vyama vya Ushirika kutoka Manispaa ya Kinondoni kwa kuchangia kiasi cha Shilingi Milioni Kumi katika ujenzi wa kisima katika Kituo cha...
Tarehe iliyowekwa: April 3rd, 2024
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kupitia Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe imefanya mafunzo kwa watoa huduma wa afya ili kuwajengea uwezo wa kutoa matibabu kwa watoto chini ya miaka mi...