Tarehe iliyowekwa: February 22nd, 2024
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. Samia Suluhu Hasani, amemtua Mama ndoo kichwani katika Kata ya Mabwepande jimbo la Kawe.
Akitoa salamu za Kata ya Mabwepande kwa Mkuu wa Mkoa...
Tarehe iliyowekwa: February 22nd, 2024
Zaidi ya Wahudumu 600 wa afya Nchini wametumwa nje ya Nchi kupatiwa mafunzo kwa lengo la kuboresha huduma za afya Nchini.
Hayo yamebainika Februari 22, 2024 katika siku ya pili ya ziara ya Mkuu wa ...
Tarehe iliyowekwa: February 22nd, 2024
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Godwin Gonde iliyopo Kata ya Kunduchi Halmashauri ya Kinondoni wameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kujali Walimu wao.
Kiongozi wa Wanafunzi,...