Tarehe iliyowekwa: May 20th, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ali Hapi ameongoza mbio za polepole pamoja na matembezi ya haraka yenye umbali wa km 4.7 katika tamasha la mazoezi na michezo kwa watumishi na wananchi wa Manispaa ya ...
Tarehe iliyowekwa: May 19th, 2017
Manispaa ya Kinondoni leo imepokea ujumbe wa Baraza la Madiwani kutoka Halmashuri ya Manispaa ya Ilemela waliokuja kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu katika maswala ya utendaji.
Ujumbe ...
Tarehe iliyowekwa: May 17th, 2017
Kamati ya Fedha na Uongozi Manispaa ya Kinondoni imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya Maendeleo kwa lengo la kuangalia hatua zilizofikiwa katika utekelezaji wake.
Kamati hiyo chini ya Kaimu M...