Tarehe iliyowekwa: August 24th, 2021
Ni kauli yake Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makala, alipozuru eneo la Coco-Beach na kuzungumza na wafanyabiashara wa eneo hilo katika kikao kazi kilichofanyika leo, kwa lengo la kutafu...
Tarehe iliyowekwa: August 20th, 2021
Mwenge maalum wa Uhuru kwa mwaka 2021 katika Wilaya ya Kinondoni utakimbia Kilomita 70.8, utazindua, utaweka jiwe la msingi na utatembelea jumla ya miradi minane yenye thamani ya takribani Sh. bilioni...
Tarehe iliyowekwa: August 18th, 2021
Wilaya ya Kinondoni imeungana na Jiji la Dar es Salaam pamoja na Wilaya tatu za Mkoa wa Dar es Salaam kuupokea Mwenge wa Uhuru kutokea Mkoa wa Pwani.
Akiupokea Mwenge huo kutoka Mkoa wa Pwani, ...