Tarehe iliyowekwa: October 6th, 2023
Wajumbe wa Kamati ya Mkuu wa Wilaya ya utatuzi wa migogoro ya ardhi wakiendelea na utatuzi wa changamoto za migogoro ya ardhi katika Kata mbalimbali za Manispaa ya Kinondoni.
...
Tarehe iliyowekwa: October 6th, 2023
Idara ya Maendeleo ya Jamii kupitia dawati la maendeleo ya mtoto Manispaa ya Kinondoni wamefanya mafunzo juu ya usalama wa mtoto shuleni na nje ya shule ili kumlinda mtoto dhidi ya ukatili ...
Tarehe iliyowekwa: October 5th, 2023
Klabu ya Michezo ya Mwembechai Fittness Club, leo imefanya bonanza la mbio pole kwa ajili ya kuchangia damu na kadi za bima ya afya.
Uchangiaji kupitia bonanza hilo, lililohudhuriwa na Mbunge wa Ji...